Kaka yangu aliyewahi kusoma Japan aliwahi kuniambia kuwa Japan hawamwamini MUNGU kwa sana,makanisa ni machache na watu hawaoni kwanini waache kufanya shughuli zao za kimaendeleo (kama tunavyojua Japan ni nchi iliyoendelea sana) wachukue nafasi ya kumwabudu MUNGU muumba wa hizi nchi/Dunia na Mbingu, inawezekana MUNGU ameamua kuwaonyesha kidogo kuwa kuna yeye?
Sina uhakika lakini yote kwa yote inabidi tuwaombee,athari waliyopata ni kubwa sana.

Blog hii ipo pamoja na Wajapan wote katika kipindi hiki ambacho wanajipanga ku'cover hasara yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi lililoambatana na kimbunga kikali cha Tsunami wiki iliyopita.
0 comments:
Post a Comment